|
Karibu Habari mpya Undugu wetu Tunahusiana na nani Jimbo la Biedenkopf Jimbo la Kituntu EKHN KKKT Ujerumani na Tanzania Maeneo ya Kazi Ziara Mbalimbali Jumapili ya Undugu Miradi yetu Mambo ya Umoja Tathmini Wasiliana nasi Wahariri Tovuti nyinginezo Tuunge Mkono
![]() |
Miradi
Kufanya kazi kwa pamoja kupambana na umaskini ni moja ya malengo makubwa ya undugu wetu. Lakini kutokana na tofauti kubwa zilizopo kati yetu, inatubidi kuwa tayari kujifunza mawazo na hisia za wengine. Wakati mwingine kumekuwepo ugumu katika wa kutoelewana na hali kama hiyo inaweza kukatisha tamaa . Katika tathmini ya miradi iliyofanyaika mwaka 2007, tuliweka mapatano ya usimamizi wa miradi ya pamoja. Kamati za undugu kwa pande zote mbili zitakuwa zikibadilishana miniti za vikao katika lugha ya Kiingereza, ili kukubaliana kwa pamoja kuhusu jambo gani linapaswa kufanyika. Miradi yote imeorodheshwa hapa:
|
||