|
Karibu Habari mpya Undugu wetu Tunahusiana na nani Jimbo la Biedenkopf Jimbo la Kituntu EKHN KKKT Ujerumani na Tanzania Maeneo ya Kazi Ziara Mbalimbali Jumapili ya Undugu Miradi yetu Mambo ya Umoja Tathmini Wasiliana nasi Wahariri Tovuti nyinginezo Tuunge Mkono
![]() |
Jumapili ya Undugu
Tangu mwanzo wa undugu wetu, ibada, nyimbo na sala zimekuwa na nafasi ya pekee katika kuimarisha undugu. Kuanzia mwaka 1992 tunaamisha kwa pamoja jumapili ya undugu, yaani jumapili ya kwanza Juni kila mwaka . Maadhimisho haya yanafanyika karibu katika mitaa yote ya majimbo yetu, Biedenkopf na Kituntu. Wakati wa ziara zote nchini Ujerumani na Tanzania , wawakilishi hukumbuka kufanya sala za asubuhi na jioni, na pia kuadhimisha kwa pamoja ibada na sherehe mbalimbali. Nyimbo za Kijerumani na za Kiswahili, ambazo huimbwa wakati huo, haziwezi kusahaulika kamwe. Pamoja na tofauti za lugha zilizopo kati yetu, utajiri wa kiroho tunaoupata kila tunapokutana ni chanzo cha maono, furaha na kutiana moyo. Bwana asifiwe sana ! Amin.
|
||||