Undugu


„Kuwa na undugu na Afrika ni jambo linalougusa sana moyo wangu, kwani sisi sote
katika ulimwengu huu tunategemeana“, alijibu Rais wa Shirikisho la Ujerumani, Horst
Köhler, alipoulizwa na vijana kuhusu jambo muhimu kwake akiwa rais, kwenye
Mkutano mkubwa wa Kanisa la Kilutheri Ujerumani (Kirchentag) uliofanyika
Hannover (Angalia kwenye): www.partnerschaft-mit-Afrika.de
Je nguzo za undugu wetu ni zipi? Je mambo gani yamefanyika katika miaka hii yote?
Je ni wapi kuna baraka na wapi kumekuwepo mapungufu? Tovuti yetu inatoa mwanga
kwa kiasi fulani juu ya hayo yote.
Nini maana ya Undugu

Je Undugu wetu ulianzaje

Daraja kama nembo ya Undugu

Ukiri wa Undugu

Kamati za Undugu

Makubaliano ya Undugu
  © by Design4Web 2008