Nchi


Fahne
Fahne
Shirikisho la Ujerumani

Mahali ilipo: Ulaya kati

Eneo: 357.031 km²

Nchi jirani: Austria , Ubelgiji , Jamhuri ya Czech , Denmark , Ufaransa , Luxemburg , Uholanzi , Poland , Uswizi.

Hali ya hewa: Wastani wa jotoridi 9° C

Mlima mrefu: Zugspitze 2.962 m.

Mito mrefu: Rhine 865 km, Elbe 700 km,
Main 524 km.

Malighafi: chunvi, potassium, makaa ya mawe

Wakazi: milioni 82,5

Wakazi na marika yao: 0-14: 12,3% - 15-64: 67.6% - 65 na kuendelea: 20,1%.
Wastani wa kuishi:Wanawake : miaka 86. – Wanaume : miaka 80.

UKIMWI/HIV: Watu 40,000 wanaishi na HIV/UKIMWI (2006).

Wakazi kwa eneo: 231 kwa km².

Lugha: Kijerumani

Wageni toka nchi zingine: 7,2 milioni.

Dini mbalimbali: Wakristo 66 % (Wakatoliki 33 %, Waprotestanti 33 %); Waislamu 3 %; Wayahudi 0.1 % ; Wasiokuwa na dini 30.9 %.

Mfumo wa serikali: Kidemokrasia – Bunge

Katiba: Kanuni na sheria ya msingi toka 1949 (pamoja na marekebisho) Siku ya Taifa: Tarehe 3 Octoba - tangu mwaka 1990– Siku ya Kuungana tena (Ujerumani Mashariki na Ujerumani Magharibi)

Mji Mkuu: Berlin.

Mikoa (States): 16
Bunge: Bundestag - Lower House – Wajumbe 614
na Bundesrat - Upper House wajumbe 69

Mkuu wa nchi:
Rais, ambaye kwa sasa ni Prof. Dr. Horst Köhler

Mkuu wa Serikali:
Chancellor, ambaye kwa sasa ni Dr. Angela Merkel.

Fedha: Yuro 1 = senti 100

Pata la Taifa kwa mwaka. : Yuro bilioni 2.168 -
Pato la kila mkazi kwa mwaka (GDP) - EUR 26.400 (mwaka2004)

GDP kwa sekta: Huduma 69.8 %, Viwanda na Ujenzi 29 %, Kilimo 1.2 %

Kukua kwa uchumi wa nchi (makadirio ya 2006) : 1.5 %

Pato litokanalo na kuuza nje ya nchi (2004): Yuro bilioni 731

Mazao na bidhaa inayouzwa nje: Magari na vipuri vyake, mashine, madawa, nk.

Barabara: 230 , 800 km – Barabara ndefu kwa ajili ya mwendo mkali (Autobahns) 11 , 800 km, Barabara kuu 41 , 200 km, barabara za mikoani 86 , 800 km, barabara za wilaya 91,000 km (zote niza lami)
Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mahali ilipo: Eastern Africa

Eneo: 945.087 km²

Nchi jirani: Burundi, Congo, Kenya,
Malawi, Mozambique, Rwanda, Uganda, Zambia.

Hali ya hewa: Varies from tropical along coast to
temperate in highlands - average annual
temperature: 26° C

Terrain: Plains along coast, central plateau,
highlands North, South.

Mlima mrefu: Kilimanjaro 5.895 m

Madini: bati, phosphates, chuma, makaa ya mawe, almasi dhahabu, gesi, nk.

Wakazi: 36,8 milioni (2005)

Wakazi na marika yao: Miaka 0-14: 43.7% - 15-64 y rs : 53.6% - 6 5 na kuendelea : 2.6%

Wastani wa kuishi: Wanawake miaka 54,3 Wanaume-miaka 50,4.

UKIMWI/HIV: Watu milioni 1.6 wanaishi na HIV/AIDS
(2003 est.)

Dini mbalimbali: Tanzania bara: Wakristo ca. 47 %, Waislamu ca. 35 %, Dini za asili ca.18 % Zanzibar : Waislamu 98%

Lugha : Kiswahili, Kiingereza na lugha karibu 120 za makabila

Mfumo wa serikali: Kidemokrasia-Jamhuri

Siku ya Taifa: Tarehe 26 Aprili (Muungano wa Tanganyika na Zanzibar tangu 1964)

Mji Mkuu: Dodoma.

Mikoa: 26 kama vile Arusha, Dar es Salaam, Kagera, nk.

Mkuu wa nchi: Rais, ambaye kwa sasa ni Jakaya KIKWETE
(tangu tarehe 21 Desemba 2005)

Mkuu wa Serikali: Rais, ambaye kwa sasa ni Jakaya KIKWETE
(Tangu 21 Desemba 2005)

Fedha: Tanzanian shilling (TZS)

Pato la Taifa kwa mwaka.: Yuro bilioni 10,50 -
Pato la kila mkazi kwa mwaka (GDP) 2005 : Yuro 600.

GDP kwa sekta: (2004) : Huduma 39.6% Kilimo 43.2%, Viwanda: 17.2%,

Wakazi wanaoshi katika hali duni sana: 36% (makadirio ya 2002)

Madeni ya nje (2005) : Yuro bilioni 6.90.

Barabara: (2003) 6 , 808 km (zenye lami) - 72,083 km (zisizo na lami)

Viwanja vya ndege : 11 (vyenye lami), 112 (visivyo na lami)

Reli: 3,690 km

Wakimbizi (2005): 443,706 (Burundi) 153,474 (Kongo) 3,036 (Somalia)

endelea_mbele
  © by Design4Web 2008