Tathmini


Tathmini inamaanisha kuzungumzia ubora na udhaifu, au mafanikio na mapungufu. Hivyo kwa kawaida kuna tathmini kutoka ndani na kutoka nje. Wengine wanadhani, kufanya tathmini ni kupoteza muda. Lakini tathmini ni jiwe mojawapo la msingi kwa undugu wetu. Bila tathmini zilizofanyika 2004 na 2007 tusingekuwa hapa tulipo sasa. Evalution1
2004 Ushauri juu ya Ziara za Undugu

2004 Ushauri juu ya Miradi

2007 Usimamizi wa miradi
Evalution2
  © by Design4Web 2008