|
Karibu Habari mpya Undugu wetu Tunahusiana na nani Jimbo la Biedenkopf Jimbo la Kituntu EKHN KKKT Ujerumani na Tanzania Maeneo ya Kazi Ziara Mbalimbali Jumapili ya Undugu Miradi yetu Mambo ya Umoja Tathmini Wasiliana nasi Wahariri Tovuti nyinginezo Tuunge Mkono
![]() |
Ziara Mbalimbali
Kutembeleana ni nguzo mojawapo kuu ya undugu wetu, kwani kunatupa fursa ya kukutana, kufahamiana, kubadilishana mawazo kuhusu imani na mambo katika maisha, kushiriki katika mazungumzo ya mambo mbalimbali, kushiriki katika sherehe mbalimbali kwa pamoja, kuomba pamoja, kuimba pamoja, kufikiri kwa pamoja mambo ya kufanya kupambana na umaskini na ukatili na kadhalika. Haya yote yanafanya ziara hizi kuwa sehemu muhimu ya undugu wetu.
|
||||||||