habari mpya


ona

Kuna baadhi ya urafiki ambao hupitishwa mbinguni,
na kisha kutekelezwa duniani......habari zaidi

 

Undugu Biedenkopf-Kituntu
   



Siku ya Tanzania kwenye Kindergarten


Wakiwa pamoja na Lee Cosmas Ndeiy wasichana na wavulana wa Kindergarten ya Kanisa la Kiinjili Kilutheri Frohnhausen walifurahia sana siku hii nzuri ya Tanzania. ..... habari zaidi

 

Siku ya Tanzania kwenye Kindergarten

Usaharika wa Rugera wapata Mchungaji mpya

Mchungaji Martin Mutungirehi awa Mchungaji mpya Usharikani Rugera. Makao yake yapo Rugera na aliingizwa kazini na Baba Askofu Dr. Bagonza tarehe  7, Machi 2010... habari zaidi

USHARIKA WA RUGERA WAPATA MCHUNGAJI MPYA
   

Kakaumaki

Utekelezaji wa KAKAUMAKI umeanza rasmi tarehe 11, Machi 2010 kwa kutembelea baadhi ya maeneo ya mradi kwenye Usharika wa Runyaga. .... habari zaidi

Kakaumaki
   

Baba Askofu Dr Benson Bagonza alitembelea Ushirika wa Miami

Baba Askofu Dr Benson Bagonza alitembelea Ushirika wa Kijerumani wa Florida Kusini kwenye Usharika wa Kilutheri wa St. Mark uliopo Miami kuanzia tarehe 18 mpaka 22 Novemba 2009.....habari zaidi

Miami
   

Wageni wa Kiafrika kwenye Kindergarten Usharika wa Frohnhausen

Kwa mara ya kwanza watoto kutoka Afrika watembelea na kufunga urafiki na watoto wa kiume na wakike wa Kindergarten Frohnhausen. Wageni Waafrika pamoja na Watoto na Walezi wa Kindergarten Frohnhausen... .habari zaidi

   

Jumapili ya Undugu 2009

Jumapili iliyopita, tarehe 7. Juni 09, Usharika wa Frohnhausen uliadhimisha jumapili ya undugu baina ya Jimbo la Biedenkopf na Kituntu, Tanzania. Maadhimisho hayo yalifaanza kwa Ibada mtaani Oberasphe Ibada hiyo, iliyohudhuriwa na watu wengi, iliongozwa na Mch. Jörg Stähler toka Wallau akishirikiana na Mch. Brighton Katabaro, mgeni wa siku hiyo toka Tanzania. ... habari zaidi

   

Wageni wawa marafiki

Tangu miaka 10 iliyopita, vijana wa Eifa wana nafasi muhimu katika mtaa wetu. Kila mwaka vijana huendesha ibada yao maalum. „Vijana si kanisa la kesho, bali ni kanisa la leo“ alisema Lee Cosmas Ndeiy, Mtendakazi katika kitengo cha Uekumene na Elimu jimboni Biedenkopf ....habari zaidi

   
Omuaulama, 20. Agosti 2008

Jengo jipya la Kanisa- Omurulama lazinduliwa

Tarehe 17 Agosti 2008 Askofu Dk. Benson Bagonza ameongoza ibada ya uzinduzi wa jengo la kanisa mtaani Omuralma. Zaidi ya watu 1,000, wakiwemo wawakilishi toka jimbo la Undugu – Biedenkopf, walihudhuria ibada hiyo. Wawakilishi toka Biedenkopf walikuwa: Dean Gerhard Failing, Gerhard Grabowski, Cornelia Grube, Claudia Weber na Mch. Jorg Staehler... habari zaidi
   
Wallau, 18. Juni 2008

Tovuti mpya mtandaoni leo

Tovuti mpya ya Undugu katika ya Jimbo la Biedenkopf na Kituntu imeingia mtandaoni leo. ... habari zaidi
   
  © by Design4Web 2008